banner

Chinga Season 1

After his wife runs away with his child and all his money, Chinga has to figure out a way to survive in the unforgiving streets of Dar es salaam while tracking down his wife.

genres: Drama
banner

TUNDA DAMU

Umewahi kupitia hali ngumu ya maisha na ukakosa msaada kabisa kutoka pande zote? Agnes anapitia hali hii, akiwa anauguliwa na mama ake ambae hajiwezi kwa chochote, anatakiwa kumhudumia kwa kila kitu na bado atafute pesa za kujikimu na kumtibia mama ake. Fatilia mkasa huu wa kusisimua ujionee binti jasiri Agnes anavyo tegua changamoto zake.

genres: Drama
banner

Usanii Mtupu Season 1

Maisha ya kuunga kuunga yataisha lini, swali kubwa kwa J5 na Mjomba Madevu. Wao lao nikukomaa wakipambana na visa na mikasa kwenye tasnia ya Sanaa.

genres: Drama